TID NA TUZO ZA KILI
00:00
00:00
Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

atimaye Mnyama TID ameamua kuvunja ukimya na kuzungumzia suala la kukosa kutajwa kuwania tuzo za Kili mwaka huu na kudai anahisi amehujumiwa. Akiongea exclusively na Bongo5, TID amesema ameshangaa wimbo wake Kiuno kutoingizwa kwenye tuzo hizo ilhali ulifanya vizuri kwenye redio na kwenye TV.

Licence : All Rights Reserved


X